Kiswahili Forum Kiambishi na kina matumizi mengi: mfano; Kiambihi kina matumizi yafuatayo katika lugha ya Kiswahili. Kuonyesha wakati uliopo/wa sasa Mfano: Rais anahutubia wananchi. Omondo anapiga simu. For more explanation read this post: https://swahili.co.ke/matumizi-ya-kiambishi-na/
lucas Kiunganishi (Kuunganisha maneno, virai, vishazi,sentensi) Mfano: Joseph na Maria wamechguliwa. Wao hufuga wanyama na kupanda mimema. Kuonyesha kihusishi cha mtenda Mfano: Atapelekwa kanisani na Mjomba Wageni watakaribishwa na waziri wa afya.