Kiswahili Forum Kuna aina mbili kuu za kutambua sentensi. Kimuundo Kiuamilifu/dhamira/majukumu Kiimuundo: sentensi changamano Kiuamilifu: sentensi ya masharti
Kiswahili Forum Hii sentensi jukumu lake ni kuonyesha masharti. Kitendo kimoja kinategemea kingine. -kiambishi nge hutumiwa kuonyesha masharti
Eric Musemaji anajuta kwa kuchelewa kwake mkutanoni ingwa ameshurutishwa kifika katika wakati unaofaa.