Ngano za usuli ni hadithi za kubuni ambazo hueleza asili ya maumbile fulani au tabia fulani miongoni mwa wanyama. Kwa mfano, kwa nini kuku huchakura.
Vasasili na hadithi ambazo huonyesha imani za kijamii na huelezea asili ya mambo kama vile vifo, asili ya binadamu. Huaminika na jamii kuwa ni hadithi za kweli.